Picha ya pamoja ya Sauti Sol na Barack Obama |
Rais wa Marekani Obama yuko nchini Kenya kwenye ziara ya siku tatu
ambapo pia amekutana na ndugu zake akiwemo dada yake na Bibi yake. Obama
ni mcheshi sana na mtu anaependa vituko vya hapa na pale..Katika halfa iliyofanyika leo Kundi maarufu la muziki nchini Kenya Sauti
Sol lilipata mualiko maalum kutumbuiza katika hafla hiyo…Obama aliweza
kushiriki katika kucheza nyimbo ya Sura yako…hebu cheki video hapa
chini….
No comments:
Post a Comment
paulmkale