Video Ya Kcee na Diamond Platnumz Love Boat kutoka Ijumaa.
Diamond
Platnumz anaendelea kuwa katika HeadLines za Mitandao, kutokana na
Collabo anazoendelea kufanya, Ikiwa bado "Nana" inafanya vizuri, Siku ya
ijumaa Video ya Love Boat aliyoshirikishwa na Kcee itatoka rasmi!!
No comments:
Post a Comment
paulmkale