Ali Kiba akiwa na Neyo Nairobi Kenya.


Mwana Hit Maker Ali Kiba amekutana uso kwa uso na msanii kutoka Marekani Neyo kwenye project ya Coke Studio Afrika jijini Nairobi.
Ali kiba na Neyo watafanya wimbo pamoja, na wamejiunga na wasanii wakubwa kutoka sehemu tofauti Afrika kama Wangechi wa Kenya, Dama Do Bling wa Mozambique, Ice Prince wa Nigeria na Maurice Kirya wa Uganda.

No comments:

Post a Comment

paulmkale