Vanessa Mdee: Ali Kiba sina beef naye infact sina beef na mtu yeyote

Vanessa Mdee aliwekwa kwenye Kikaango cha EATV wiki hii ambapo mashabiki wake walipata fursa ya kumuuliza maswali mbalimbali.Kuna mtu alimuuliza kama ana beef yoyote na Alikiba na Vanessa kujibu, “Ali Kiba sina beef naye infact sina beef na mtu yeyote. Nampenda nakumheshimu sana. Hatujawahi kufanya kazi ya mziki pamoja lakini ninamuamini sana ana kipaji sanaa na cha kipekee. Tunashirikiana kupinga ujangili kama mabalozi wa Wild Aid.”

No comments:

Post a Comment

paulmkale