Picha hii ambayo imesambaa kwenye mitandao tofauti inamuonyesha tour
manager wa Diamond Platnumz ‘Salam’ akiwa na Ali Kiba, kwenye picha hii
tunamuona Neyo kwa mbali na inaonekana ilipigwa wakati Ali Kiba akiwa
Nairobi kwaajili ya Coke studio atakapo fanya wimbo na Neyo.
No comments:
Post a Comment
paulmkale