Picha: Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye ametangaza rasmi kujiondoa CCM na kujiunga na CHADEMA/UKAWA

Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye ametangaza rasmi kujiondoa katika chama tawala cha CCM na kujiunga na CHADEMA/UKAWA.
Sumaye ametoa kauli hiyo muda si mrefu Jijini Dar es Salaam na anakuwa Waziri Mkuu Mstaafu wa pili kujiunga na Chadema/Ukawa baada ya Mhe. Edward Lowassa kufanya hivyo.

No comments:

Post a Comment

paulmkale