Vanessa Mdee
anafanya poa sana katika muziki wa Afrika kwa sasa, ni mmoja ya wanadada
ambao wana mafanikio makubwa katika muziki baada ya kutajwa katika tuzo
mbalimbali za kimataifa.Katika kikaangoni ya EATV ambapo mashabiki wa
Vanessa Mdee walipata fursa ya kumuuliza maswali, amezungumzia mambo mengi ikiwemo Collabo yake na
Diamond Platnumz ambayo iko mbioni kutoka,
Vanessa kasema kuwa Collabo hii itakuwa moto wa kuotea mbali hivyo watu waisubiri kwa hamu.
No comments:
Post a Comment
paulmkale