UNATAKA
kwenda shoo ya Diamond, Krismasi hii? Kama ndiyo, sasa unaweza kujipatia tiketi
ya bure kwenda kwenye shoo hiyo kwa kujibu maswali katika Gazeti la Uwazi kesho
Jumanne pamoja na Risasi Mchanganyiko siku ya Jumatano.
Jinsi
ya kushiriki, nunua gazeti lako la Uwazi au Risasi Mchanganyiko kisha jibu
maswali kiufasaha ndani ya magazeti hayo katika kuponi maalum na washindi
watano kila gazeti watajishindia tiketi ya bure kwenda kwenye shoo ya Diamond
itakayofanyika Krismasi katika Ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini
Dar.
Wanaoruhusiwa
kushiriki ni wenye umri kuanzia miaka 18, shindano hili ni kwa watu waishio
jijini Dar pekee.
No comments:
Post a Comment
paulmkale