Akizungumza katika kipindi cha papaso na Mtangazaji Djaro Arungu, Diamond Platnumz amesema “Mi nashangaa sana kusikia hayo maneno, wanasema hivyo wakati mi najitahidi kuwasaidia wenzangu tutoboe wote, kila kolabo ya msanii wa nyumbani na msanii wa Nigeria inayofanywa mi ndo huwa nasababisha, Nikiamua kubana mbona naweza tu, kwa sababu vituo vingi vya nje vinanisikiliza kwa mfano tu MTV wenyewe wakipokea video ya msanii yoyote kutoka hapa (Tanzania) wananipigia wananiuliza kwanza huyu vipi? tuicheze ngoma yake au? mi huwa nasema tu anafanya vizuri huku, basi inapita wanaicheza nikiamua kubana si naweza tu?“.
Diamond Platnumz: Video ya Bongo haichezwi MTV bila mimi Kushirikishwa
Huenda ulikuwa hujui kuwa Diamond Platnumz ni mmoja ya wasanii wenye
ushawishi mkubwa katika media za kimaitaifa hasa MTV na Sound City,
kuanzia leo jua hicho kitu kuwa Diamond Platnumz lazima ashirikishwe
kama nyimbo ya Bongo ikitumwa MTV.

Akizungumza katika kipindi cha papaso na Mtangazaji Djaro Arungu, Diamond Platnumz amesema “Mi nashangaa sana kusikia hayo maneno, wanasema hivyo wakati mi najitahidi kuwasaidia wenzangu tutoboe wote, kila kolabo ya msanii wa nyumbani na msanii wa Nigeria inayofanywa mi ndo huwa nasababisha, Nikiamua kubana mbona naweza tu, kwa sababu vituo vingi vya nje vinanisikiliza kwa mfano tu MTV wenyewe wakipokea video ya msanii yoyote kutoka hapa (Tanzania) wananipigia wananiuliza kwanza huyu vipi? tuicheze ngoma yake au? mi huwa nasema tu anafanya vizuri huku, basi inapita wanaicheza nikiamua kubana si naweza tu?“.
Akizungumza katika kipindi cha papaso na Mtangazaji Djaro Arungu, Diamond Platnumz amesema “Mi nashangaa sana kusikia hayo maneno, wanasema hivyo wakati mi najitahidi kuwasaidia wenzangu tutoboe wote, kila kolabo ya msanii wa nyumbani na msanii wa Nigeria inayofanywa mi ndo huwa nasababisha, Nikiamua kubana mbona naweza tu, kwa sababu vituo vingi vya nje vinanisikiliza kwa mfano tu MTV wenyewe wakipokea video ya msanii yoyote kutoka hapa (Tanzania) wananipigia wananiuliza kwanza huyu vipi? tuicheze ngoma yake au? mi huwa nasema tu anafanya vizuri huku, basi inapita wanaicheza nikiamua kubana si naweza tu?“.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
paulmkale