oh Makini katika kundi la weusi alikuwa mtu wa kwanza katika kundi hilo kutoka kimtaifa na nyimbo ya Don’t bother aliyomshirikisha
AKA wa South Afrika, zamu hii ni zamu ya member wa kundi hilo la Weusi maarufu kama
G Nako nae kwenda katika soko la kimataifa.
Video hii mpya itatambilishwa kesho jumatatu katika kituo maarufu vha TV cha
MTV katika kipengele cha
SPANKING NEW.
No comments:
Post a Comment
paulmkale