Nyimbo hii kumbe imeandikwa na member na kiongozi wa kundi la muziki la Sauti Sol aitwae Bien Baraka (Yuko kwenye picha hapo juu na Yemi Alade).
Katika Mtandao wa Instagram Yemi Alade ameandika “Happy belated BIRTHDAY MY KENYAN SUPERSTAR BOYFRIEND ….U R A GEM! THANK YOU FOR FINDING TIME TO TRANSLATE #NAGODE FROM ENGLISH TO SWAHILI. #MUSICALprof! Luv ya! !Luv Y’ALL! !@sautisol“
No comments:
Post a Comment
paulmkale