Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi akisalimiana na Naibu Kamishna wa
uhamiaji Haji Hamza wakati alipofanya ziara ya kikazi katika ofisi za
Uhamiaji Zanzibar zilizopo katika eneo la Kilimanim, kulia ni Kamishna
wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Sururu.
Naibu
Waziri wa Mmambo ya Ndani ya Nnchi Hamad Masauni akisaini kitabu cha
wageni katika ofisi ya Kamishina Mkuu wa Uhamiaji Zanzibar alipofanya
ziara yake ya kikazi kwa ajili ya kujionea shughuli za kiutendaji katika
ofisi hizo zilizoko Kilimani Zanznibar.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni akizungumza na wananchi
wa Visiwani Zanzniabr waliokuwa wakisubiri husduma katika ofisi za
Uhamijia alipofanya ziara yake ya kikazi kwa ajili ya kujionea shughuli za kiutendaji zilizoko Kilimani Zanznibar.
Naibu wAZiri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni akisikiliza maelezo ya hatua za maombi ya hati za kusariria kutoka
kwa afisa wa udhibiti wa hati za kusafiria katika ofisi za Uhamiaji
Zanzibar alipofanya ziara ya kikazi kwa ajili ya kujione shughuli
mbalimbali za kiutendaji
Naibu
WaZiri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni (kushoto) akiongozana na
Kamishna wa Uhamijai Zanznibar , Johari Sururu (Kulia) kuelekea katika
chumba cha kuhiofadhi kumbumbuku za waombaji hati za kusafiria. Naibu
huyo alitembelea ofisi hizo kwa ajili ya kujionea shughuli za kiutendaji katika ofisi hizo
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni akikagua jarada lenye
kuonyesha kumbukumbu za waombaji wa hati za kusafiria kutoka katika
familia yake, aliyesimama ni Kamishna wa Uhamiaji Zanzniabr Johari
Sururu akifatiwa na Naibu Kamishna wa Utawala na fedha. Masauni alifanya
ziara hiyo ya kikazi kwa ajili ya kujionea shighuli mbalimbali za
kiutendaji.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni akizungumza na watendaji
wakuu wa Idara ya Uhamiaji Zanzibar alikofanya ziara ya kikazi kwa
ajili ya kujionea shughuli za kiutendaji. Waziri huyo ametoa onyo kwa
maafisa wote wanaotumia zoezi la kukamata wahamiaji haramu kinyume na
agizo la serikali kuwa watachukuliwa hatua za kinidhamu.
Kamishna
wa Idara ya Uhamiaji zanzibar, Johari Sururu akitoa taarifa kwa Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni aliyefanya ziara ya kikazi kwa
ajili ya kujionea shughuli za kiutendaji katika ofisi za Uhamiaji
zilizopo eneo la Kilimani Zanznibar.
(IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO MAMBO YA NDANI YA NCHI).
No comments:
Post a Comment
paulmkale