Akizungumza na Millard ayo Diamond amesema “una Collabo na watu wengi sana Kwa mfano kama juzi, juzi kati nafikiri, kama siku tatu nyuma hivi Swizz alinicheck akanambia itabidi tufanye kazi…. nikamwambia sawa, na tuko tunaplan, nikamwambia mimi nakuja Marekani nafikiri mwezi wa tatu kama sijakosea, au before mwezi wa tatu, kwasababu kushoot video yangu niliyofanya na Neyo, ndio tunaenda kushoot video, Ah nikamwambia nikija ndio itakuwa time nzuri tunafanya hapo hapo“.
Swizz Beatz kufanya Collabo na Diamond Platnumz ndani ya mwaka huu
Moja katika ya mastaa wanaokubali kazi za Diamond Platnumz huwezi
kuacha kumtaja Swizz Beatz, ambae alionyesha wazi wazi kuikubali ngoma
ya “Nana”. Swizz Beatz yuko mbioni kufanya kazi na Diamond Platnumz

Akizungumza na Millard ayo Diamond amesema “una Collabo na watu wengi sana Kwa mfano kama juzi, juzi kati nafikiri, kama siku tatu nyuma hivi Swizz alinicheck akanambia itabidi tufanye kazi…. nikamwambia sawa, na tuko tunaplan, nikamwambia mimi nakuja Marekani nafikiri mwezi wa tatu kama sijakosea, au before mwezi wa tatu, kwasababu kushoot video yangu niliyofanya na Neyo, ndio tunaenda kushoot video, Ah nikamwambia nikija ndio itakuwa time nzuri tunafanya hapo hapo“.
Akizungumza na Millard ayo Diamond amesema “una Collabo na watu wengi sana Kwa mfano kama juzi, juzi kati nafikiri, kama siku tatu nyuma hivi Swizz alinicheck akanambia itabidi tufanye kazi…. nikamwambia sawa, na tuko tunaplan, nikamwambia mimi nakuja Marekani nafikiri mwezi wa tatu kama sijakosea, au before mwezi wa tatu, kwasababu kushoot video yangu niliyofanya na Neyo, ndio tunaenda kushoot video, Ah nikamwambia nikija ndio itakuwa time nzuri tunafanya hapo hapo“.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
paulmkale