BAADA ya kupata wakati mgumu wa kushambuliwa na maneno kila akiweka
picha mtandaoni ya Diamond ama Zari, staa wa filamu Bongo, Jacqueline
Walper ‘Wolper’ ameweka wazi kwa kuwajibu, haoni tatizo kujipendekeza
kwa hao watu.Akichezesha taya na Amani, Wolper alisema kuwa, ilifika kipindi katika ukurasa wake wa Instagram watu wengi walikuwa wakimshambulia kwa maneno na kufikia hadi hatua ya kumtukana.
“Kiukweli mimi ni binadamu, nashangaa ukiweka picha ya mtu ooh, anajipendekeza ni sawa najipendekeza ndiyo na wala siyo uongo lakini kuna mtu ambaye inamuhusu?” Alihoji Wolper.
No comments:
Post a Comment
paulmkale