Msanii wa Filamu za Bongo na mdau wa Muziki wa Bongo Fleva, Rose Alphonce ‘Muna Love’ na mtangazaji Casto Dickson, wamefiwa na mtoto wao aitwaye Patrick ambaye amefariki leo Julai 3, 2018 akiwa nchini Kenya akipatiwa matibabu.
Kupitia ukurasa wa instagram wa Zamaradi Mketema ameandika
“Tumejitahidi ila MUNGU ana mitihani yake, mikono inatetemeka ila ndio ukweli, PATY AMEFARIKI!! Pumzika kwa amani baba”
Pia Tunda ambaye ni mpenzi mpya wa Casto Dickson mara baada ya kuachana na mama mtoto wake Munalove, ameguswa na kifo cha mtoto huyo ambapo kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kuwa;
“Daah RIP Patrick Mungu amekupenda zaidi”
No comments:
Post a Comment
paulmkale