Wakitumia kurasa zao za instagram, nini na nay kwa nyakati tfauti wameandika maneno yenye kuacha maswali mengi kwa mashabiki zao.katika ukuarasa wa nay aliandika:
ITS OFFICIAL SINGLE, usichangie chochote , wala sihitaji comments ata moja , no ushauri wala maoni , yaani ni hivyo hivyo tu am single.”
wakati katika ukurasa wa nini aliandika
“Kwenye haya maisha unaweza ukampenda, ukamjali na kumheshimu mtu lakini akakuona kama fala, na akishajua hivyo ndo anakufanyia vituko kila sehemu maka ukajua kumpenda. but all in all lazima maisha yaendelee, there are dream need to be fulfilled, and responsibilities to be done , hata bila wewe mbona mi naweza tu.TUSIENDESHANE”
No comments:
Post a Comment
paulmkale