Hapa Ndipo Ilipotokea Ajali Mbaya Basi Kuingia Mto Ruaha Mkuu..


Ni majuzi. Ni jirani na ninaponunua matikiti yangu Ruaha Mbuyuni ukivuka mpaka upande wa Morogoro.
Nimepita hapo alasiri ya jana na kukuta kazi ya kulitoa basi mtoni ikiendelea. Ni ajali mbaya na ya kusikitisha iliyosababishwa na uzembe wa dereva. Inasikitisha.

No comments:

Post a Comment

paulmkale