[image: Dancer wa Nicki Minaj ang]
Mmoja kati ya wachezaji wa Nicki Minaj ameng’atwa na nyoka aina ya Anaconda
mwenye urefu wa futi 6 wakati wakifanya mazoezi ya kwa ajili ya show ya
tuzo za video za MTV (MTV Video Music Awards).
Kwa mujibu wa TMZ, Nicki Minaj alikuwa jukwaani na dancers wake wakifanya
mazoezi ya kucheza hit ya ‘Anaconda’ ambapo dancer mmoja wa kike aling’atwa
na moja kati ya nyoka waliokuwa wamewekwa kwenye kontena kwa ajili ya
kufanyia mazoezi.
Inaelezwa kuwa nyoka hao aina ya Anaconda hawakuwa na sumu lakini wana
uwezo wa kusambaza bacteria ambao husababisha matat... more »
No comments:
Post a Comment
paulmkale