Wasanii wamtembelea mzee Njenje nyumbani kwake Tanga


Wasanii wote wanaotarajiwa kupanda jukwaa la Fiesta mkoani Tanga, wamepata nafasi ya kumtembelea mwanamuziki mkongwe wa Dansi "Mzee Njenje" ambae anasumbuliwa na matatizo ya kiafya Wasanii hao wapo katika msafara wa tamasha la Fiesta linalofanyika leo hii katika Uwanja wa Mkwakwani. Mkurugenzi wa Uzalishaji na Vipindi wa Clouds Media, Ruge Mutahaba (kushoto) na Meneja wa Bia ya Serengeti, Rugambo Rodney wakiteta na Masanii mkongwe wa muziki wa dansi, Mzee Njenje alipotembelewa na timu ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya ili kumpa mkono wa pole. Mtangazaji wa Power Breakfast "G...

No comments:

Post a Comment

paulmkale