|
diamond paltinumz |
Mwaka 2014 Diamond Platnumz amefanikiwa kuifungua vizuri milango ya kimataifa ambayo matunda tayari yameanza kuonekana. Tumeshuhudia akiwa nominated katika tuzo mbalimbali za kimataifa, na baada ya kushinda tuzo ya AFRIMMA hivi karibuni Platnumz ameshinda tuzo nyingine nchini Burundi kupitia hit yake ya ‘Number 1’.Platnumz amewashukuru mashabiki, wadau na vyombo vya habari kwa kumuwezesha kushinda tuzo hiyo:
“Asante sana kwa Media wadau na Mashabiki zangu pendwa kwa kuifanya Number One kuwa Nyimbo Bora ya East Africa ya Mwaka kwenye tunzo za #TTTMAwards nchini Burundi…..”
Hizi ni Tuzo ambazo tayari Nasib Abdul amejishindia katika miaka michache ya career yake ya muziki.
No comments:
Post a Comment
paulmkale