P-Square kuachia nyimbo tatu kwa mpigo, moja ina video yake

Kundi la P-Square saa chache zijazo linatarajia kutikisa medani ya muziki barani Afrika na kwingineko duniani kwa kuachia nyimbo tatu kwa mpigo huku moja ikiwa na video yake.Ngoma ambayo itatoka na video inaitwa ‘Ejeajo’ waliyomshirikisha rapper wa Marekani, T.I. Video ya wimbo huo ilifanyika Marekani.Ngoma ya pili inaitwa ‘Shekini’ na ya tatu ni ‘Bring It On’ waliyomshirikisha Dave Scott.Nyimbo hizo zipo kwenye album yao ya sita itakayotoka mwaka huu.






No comments:

Post a Comment

paulmkale