Habari Za Kusikitisha Muigizaji Wa Filamu Mr.Manento Afariki Dunia.

rest in peace

Taarifa zilizotufikia katika chumba cha habari ya Globu ya Jamii zinaeleza kuwa....> **Msanii wa filamu, Mzee Manento amefariki dunia hapo jana. Globu ya Jamii bado inafuatilia kwa karibu kujua chanzo cha kifo cha Muigizaji huyu mahiri wa filamu hapa nchini.Baadhi ya filamu alizowahi kuigiza Mzee Mnento ni Hero of the church, Dar to Lagos, Fake pastor n.k *@paulmkale.com *Mungu ailaze Roho ya maerehemu mahali pema peponi amina.*

1 comment:

  1. Mungu ailaze Roho ya maerehemu mahali pema peponi amina.

    ReplyDelete

paulmkale