jei Ali Kiba kafata nyayo za Diamond kwa kutoa Tshirt hiziiii??? Zione hapa

ali-kiba
Hit maker wa ngoma ya ‘Mwana’ Ali Kiba ambaye juzi kati kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta aliweza kudhihilisha kuwa amekifuta kiti chake alichokiacha kwa muda mrefu kwa
kumfunika mkali mwenzie Diamond Platnumz. Mbali na kwamba ni vitu kibao anategemea kuvifanya Ali Kiba ila tayari ameshaanza kutumia sura yake kwenye T-shirt zake yote ni ku-step a head katika kujiingizia kipato, but BK Cop alimtafuta Ali Kiba ili kujua kama hii ni project endelevu na ni lini rasmi itaanza kutoka mtaaniya ila Ali K alikuwa bize kidogo. Usicheze mbali na Baabkubwa litakupa info’s zote kuhusu project hiyo.121

No comments:

Post a Comment

paulmkale