UNADHANI CHIDI BEENZ KUNA FUNDISHO LOLOTE ALILOPATA BAADA YA KUTOLEWA LEO KWA DHAMANA??


1.
2.
MSANII wa muziki wa kizazi kipya Rashid Makwiro ’Chid Beenz amepata dhamana mapema hii leo katika  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kukamilisha taratibu zote za wadhamini wawili baada ya hapo jana kurudishwa rumande alipokuwa hajakamilisha taratibu hizo.
(Habari/Picha kwa hisani ya DENIS MTIMA kutoka GPL)
UNADHANI CHIDI BEENZ KUNA FUNDISHO LOLOTE ALILOPATA BAADA YA KUTOLEWA LEO NA KURUDI URAHIANI.

No comments:

Post a Comment

paulmkale