Habari Nyingine Ya Kusikitisha Geez Mabovu Afariki Dunia.

http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/12/gee.jpg 
MSANII WA HIP HOP TOKA IRINGA GEEZ MABOVU AFARIKI DUNIA 
KWA HABARI ZILIZOTUFIKIA MWANA HIPHOP GEEZ MABOVU HATUPO NAE TENA AFARIKI DUNIA AKIWA IRINGA 
LEO SAA MOJA USIKU
MUNGU AMETOA MUNGU AMETWA NA JINA LAKE LIHIMIDIWE
R.I.P GEEZ MABOVU

No comments:

Post a Comment

paulmkale