Kutokana Na Msiba Wa Geez Mabovu,Young Killer Amehirisha Kutoa Video Ya 13.
Kutokana na kifo cha rapper Geez Mabovu,
baadhi ya show na kazi mpya za sanaa hazitatoka wiki hii, Miongoni mwa
kazi hizo ni video mpya ya Young Killer Ft Fid Q '13' kama alivyoandika
Young Killer.
No comments:
Post a Comment
paulmkale