Walichokiandika mashabiki wakati Channel O ikionyesha ‘My Number One’ ya Diamond Platnumz
Mpaka sasa zimebaki siku mbili za
kumpigia kura msanii pekee aliyetajwa kuiwakilisha Tanzania kwenye tuzo
za Kituo cha TV, Channel O ‘Channel O Music Video Awards 2014 (CHOAMVA).
Mashabiki wamedhihirisha kuwa hitmaker wa single ya ‘My Number One’ Diamond Platnumz
ndiye msanii anayependwa na kuendelea kupewa support katika tuzo za
Channel O Music Video Awards baada ya kituo cha TV cha Channel O kucheza
video yake huku mashabiki wakitoa maoni ya kushawishi watu kumpigia
kura msanii huyo.
Hii ndio link ya kumpigia kura Diamond Platnumz http://bit.ly/1p896un
No comments:
Post a Comment
paulmkale