Picha,Mwinyi na Lowassa katika sherehe Monduli

photo 2

Rais mstaafu wa awamu ya pili Al hadji Ali Hassan Mwinyi akizindua moja ya sanamu za kumbukukumbu ya waanzishi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Maasai ambayo imeadhimisha miaka 20 toka kuanzishwa kwake,huko Monduli Mlimani, leo jumamosi 24 January.

photo 3

Mke wa mbunge wa Monduli mama Regina Lowassa akipanda mti wa kumbukumbu ya miaka 20 tokea kuanzishwa kwa shule ya sekondari ya wasichana ya Maasai wilayani Monduli leo jumamosi January 24.Anayeshuhudia ni mumewe Mh Edward Lowassa na mbunge wa Viti maalum(ccm) mkoa wa Arusha Namelok Sokoine.

photo 4

Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa na mkewe mama Regina Lowassa katika sherehe hizo

photo 5

Rais Mstaafu wa awamu ya pili al hadji Ali Hassan Mwinyi akisamiliana an mama Regina Lowassa wakati akiwasili katika shule ya sekondari ya wasichana ya Maasai wilayani Monduli ambapo shule hiyo inaadhimisha miaka 20 tokea kuanzishwa kwake.

No comments:

Post a Comment

paulmkale