Tiwa Savage anaianza January 2015 kwa kushare na sisi hii goodnews !!

Tiwa-SavageSaa chache zimepita tangu tuingie rasmi mwaka 2015, wapenzi wa muziki wa Nigeria jina la msanii Tiwa Savage sio jina geni kwao.

Muimbaji Tiwa Savage ametueleza kuhusu furaha aliyonayo pamoja na mume wake Tunji TJ Balogun, ameshare na sisi picha aliyopost kwenye ukurasa wake wa Instagram kuwa kwa sasa yeye ni mama kijacho; “2015….Just the 3 of US…❤️ #AllGloryToGod” @officialtiwasavage

z tiwa

tiwaHuyu atakuwa mtoto wa kwanza wa Tiwa Savage na mume wake huyo, lakini mumewe tayari ana watoto wawili.

No comments:

Post a Comment

paulmkale