Tweet za Davido hazimlengi Diamond, wako poa – Meneja
Kwa mujibu wa mmoja wa mameneja wa Diamond Platnumz, tweet zenye hasira
zilizoandikwa na Davido jana hazimhusu muimbaji huyo wa ‘My Number One.’
Mitandao mikubwa ya Nigeria ikiwemo Pulse na News24 imeandika kuwa tweets
hizo ambazo Davido anamzungumzia mtu asiye na shukrani kwake na kwamba
kiama chake kinakuja, zimemlenga Diamond.
No comments:
Post a Comment
paulmkale