Picha;Ludacris afunga ndoa na Girlfriend wake wa kitambo Eudoxie

Ludacris ameamua kuipeleka ndoa yake kama movie yake inavyokwenda ...Fast and Furious.. kwasababu inasemekana ameoa msimu huu uliopita wa sikukuu baada ya kum-propose siku hiyo hiyo.Luda aliomba kumuoa  GF wake wa siku nyingi  Eudoxie wakati wa mchana kisha akampeleka chakula cha usiku (Georgia restaurant), waliporudi nyumbani gauni la harusi lilikuwa lilikuwa limeshafika nyumbani" kilisema chanzo cha habari hizo.

No comments:

Post a Comment

paulmkale