Kupitia
mitandao ya kijamii siku kulikua na picha ya msanii Matonya
ikimwonyesha akiwa (amezima) amelala chini, kwenye michanga huku suruali
yake ikiwa magotini na kubaki asilimia kubwa ya boxer yake hadharani
Kiukweli sio picha nzuri licha ya kuwa pia iliambatana na
uvumi kuwa Matonya ameaga dunia, Matonya
hapatikani kwa simu, lakini msanii wa kitambo Rich Onea ambae anadai
kuwa ni jirani yake Matonya ameongea anachokifahamu juu ya picha hiyo
No comments:
Post a Comment
paulmkale