Collabo ya Diamond Platnumz na Nay wa Mitego inatayarishshwa na Producer..


Tudd Thomas ndiye producer atakaye simamia kazi mpya ya wasanii Diamond Platnumz na Nay wa Mitego, Walikesha usikuwa wa kuamkia 19 Feb 2015. Wimbo utafanyika Surround Studios.Hivi ndivyo alivyoandika Producer huyo kwenye instagram yake

No comments:

Post a Comment

paulmkale