Weestar ajiondoa Navy Kenzo na kusaini na Ngoma Entertainment

Member wa tatu wa kundi la Navy Kenzo, Weestar amejiondoa kwenye kundi hilo na kusaini mkataba na kampuni mpya ya vipaji iitwayo
Ngoma Entertainment.Nahreel, Aika na Weestar

“Ameamua kuwa huu ni muda wa watu kumfahamu kama Weestar na sio kama member wa tatu wa Navy Kenzo,” yamesema maelezo ya Ngoma Entertainment yaliyotumwa kwa Bongo5. “Anaamini kila msanii ana sauti yake na wajibu wake wa kuwapa watu kile Mungu alichompatia. Single yake ya kwanza kama msanii anayejitegemea inaitwa ‘Naiye’ na inatoka Ijumaa hii kwenye vituo vya redio.”

No comments:

Post a Comment

paulmkale