Weusi ft Collo, Navio, Nazizi & Rabbit – GERE Remix (Nahreel.Chizan)[NEW AUDIO]
Kupakua “Weusi ft Collo Nazizi Navio & Rabbit-GERE REMIX” bofya HAPA https://mkito.com/song/gere-remix-ft-collo-navio-nazizi-rabbit/9742
na hii ndio Official Release ya kufunga Mwaka follow @weusikampuni
@joh_makini @lordmweusi @gnakowarawara @nikkwapili featuring
@collinsmajale @naviomusic @nazizihirji @thekingkaka produced by
@nahreel & chizan brain powered by @defxtro @mkitodotcom @vmgafrica www.vmgafrica.com
#EastAfricanGereRemix
#supportafricanartists #shidampya
Vanessa Mdee ft Barnaba, Aika, Nahreel & AVID - WCD (Official Music Video)
Tanzania artists - Vanessa Mdee, Barnaba, AVID, Aika & Nahreel (Navy Kenzo) come together to celebrate & show their appreciation to the fans that have supported them through the years by collaborating on "WCD" - Wave Clap Dance. Produced by Nahreel. Shot by Hanscana
Tuzo Walizoshinda @VanessaMdee Na @diamondplatnumz Zilizofanyika Nigeria.
Mtangazaji/Msanii Vanessa Mdee na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ wamewakilisha vizuri Tanzania kwa kushinda tuzo zingine kubwa Nigeria za AFRIMA.
Vanessa ameshinda tuzo ya Best Female Artist in East Africa [Msanii bora wa kike Afrika Mashariki ] huku Diamond akishinda Tuzo Ya Best Male Artist in East Africa [ Msanii bora wa kiume Africa Mashariki] . Tuzo ya Diamond ilipokelewa na Peter Msechu ambaye pia alikuwa kwenye kuwania tuzo hizo.
Hongera kwao na Peter Msechu kwa kuwakilisha vizuri.
Chanya boy ft Kasu- Fasili ( Official Music Video)
Tazama hapa Video mpya Chanya boy"FASILI"Aliyomshilikisha Kasu,Video hii imeongozwa na directed creator pro5
Mashada inc Production ..mob no 0716 397319
COPYRIGHTS
@CreatoR Pro5tm
Msami – Shake Shake(Official Music Video)
Hii ni video mpya kutoka kwa Msami wimbo unaitwa “Shake Shake” video imeongozwa na Aby kaz,New video from Blue Media
artist Msami
all Right Under Blue Media company
Mkubwa Na Wanawe-Tulia[NEW AUDIO]@paulmkale
Kundi la Yamoto Band/Mkubwa Na Wanawe wameachia ngoma mpya "TULIA"Wimbo huu *TULIA* wa *Yamoto Band* aka Mkubwa na Wanawe ulikuwa umejificha kwenye catalog ya nyimbo ambazo wamerekodi lakini hawakuwahi kuachia rasmi.Isikilize hapa na Downlod
Wimbo wa Bracket ‘Alive’ ft. Diamond ni wa shukrani baada ya memba wake kupona Kansa, Vast aelezea jinsi alivyougua hadi kupona
Alive -“Hii ni hadithi ya kweli ya Vast Bracket, safari yake hadi alivyopona kansa mwaka 2013. Huu ni wimbo wa shukrani kwa kumfanya mshindi aliyeishinda kansa.”
Hayo ni maneno yanayoonekana mwanzoni mwa video ya wimbo mpya ya kundi la Bracket kutoka Nigeria iliyotoka wiki hii, ambao wamemshirikisha Diamond Platnumz na Tiwa Savage.
Kipindi Vast anaumwa kansa
Memba wa kundi hilo aitwaye Vast, mwaka 2013 alikuwa akipigania uhai wake baada ya kuugua kansa ya damu ambayo baadae alifanikiwa kupona, ndio sababu ya kundi hilo kuamua kurekodi wimbo huu ‘Alive’ kwaajili ya kumshukuru Mungu kutokana na kumuwezesha msanii huyo kupona. “There was a time that I felt I would die. My only fear was that I was not close to God. I was afraid that if I died, I would not make it to heaven. We musicians have a particular lifestyle. You may plan to be upright, but when you go into entertainment business, it would change you.
Wizkid--Wonder(Official Music Video)
Eddy Kenzo-Be Happy(Official Music Video)
Eddy Kenzo ni mmoja ya wasanii wakubwa Uganda na anaendelea kufanya kazi bora kila siku, hii video yake mpya imetayarishwa na God Father aliyetayarisha videokama Kerewa, Ole Themba,Ntampata wapi, Mdogo mdogo na video mpya ya Ali Kiba ‘Mwana’
D’banj – Feeling The Nigga(Official Music Video)
Wiki moja baada ya kutanguliza kutoa audio, D’Banj ametoa video ya single yake mpya ‘Feeling The Nigga’. Itazame hapaNigga is a word which evolved from the derogative term "nigger". Tupac best defined the distinction between the two.
NIGGER- a black man with a slavery chain around his neck.
NIGGA- a black man with a gold chain on his neck.
Tupac defined the word
Picha: Yupi mrembo zaidi? Model kwenye video ya ‘Pacha Wangu’ au yule wa ‘Ntampata Wapi’
Diamond Platnumz na Rich Mavoko ni miongoni mwa wasanii waliotoa video kali mwaka huu. Pamoja na Mdogo Mdogo na Bum Bum, Ntampata Wapi imekuwa video iliyopokelewa vizuri zaidi mwaka huu. Naye Rich Mavoko amefanikiwa kuwa na video kali zaidi katika career yake, Pacha Wangu. Zote Ntampata Wapi na Pacha Wangu zimetumia mamodel warembo wa Afrika Kusini. Lakini nani ni mrembo zaidi? Melissa wa Diamond au Jane wa Mavoko? Tazama picha zao hapo chini na funguka kwenye comments.
Matunzo Zero Ft Young Killer-Furaha Yetu[NEW AUDIO]
Wimbo mpya kutoka kundi jipya aliloanzisha Young Killer Msodoki. Kundi linaitwa Matunzo Zero Unity na wimbo wao wa kwanza unaitwa Furaha Yetu. Download wimbo hapa:
Bracket Ft. Diamond & Tiwa Savage – Alive(Official Music Video)
Kundi la Bracket kutoka Nigeria Wameachia video Ya nyimbo yao mpya"ALIVE"Waliomshilikisha msanii Nyota Kutoka Bongo Diamond Platinumz na Tiwa Savage,Itazame hapa
Young Killer kuitambulisha ‘MZU’ kwenye wimbo ‘Furaha Yetu’
Rapper Young Killer pamoja na familia yake ya ‘Matunzo Zero Unity’ wanatarajia kuachia wimbo wao wa kwanza.
Young Killer amesema kuwa wimbo huo ni kama zawadi kwa mashabiki na wengine wanaomuunga mkono.
Picha: Ommy Dimpoz ajipa Prado mpya kama zawadi ya Christmas
Wema Sepetu (@wema_sepetu) “IN MY SHOES” S02EP06 My Birthday
Ulipitwa na show ya Wema Sepetu (@wema_sepetu) “IN MY SHOES” S02EP06 My Birthday..? Ingia hapa kutizama
FidoVato ft ROMA (@Roma_Mkatoliki) – Matatizo ya Raia Remix[NEW AUDIO]
Bofya HAPA https://mkito.com/song/matatizo-ya-raia-remix-ft-roma/9122
kupakua wimbo wa “FidoVato” akiwa amemshirikisha “ROMA Mkatoliki kwa
jina “Matatizo ya Raia Remix” toka pande za Tongwe Records na Noizmekah,
Kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na “FidoVato” kwa nambari +255
783 825 519 powered by @vmgafrica www.vmgafrica.com
—
FidoVato ft ROMA-Matatizo ya Raia RMX (Tongwe.Noiz) https://mkito.com/song/matatizo-ya-raia-remix-ft-roma/9122
Sajna-Nibebe[NEW AUDIO]@paulmkale
Msanii kutoka Mwanza Sajna ameachia wimbo mpya "NIBEBE"Uliyotayarishwa na Prod-Fundi Samwel,Isikilize Hapa na download
Tazama Picha: Mkubwa na Wanawe yatoa msaada kwa kituo cha watoto yatima Temeke
Katika kusherehekea kutimiza mwaka mmoja wa Yamoto Band, kituo cha Mkubwa na Wanawe leo kimekabidhi msaada kwenye kituo cha watoto yatima kilichopoa Temeke, Dar es Salaam.
Akikabidhi msaada huo, mkuu wa kituo hicho, Said Fella alisema: Kabla ya kuzungumza chochote Napenda kutoa shukrani zangu kwa Mwenyezi Mungu kwa kila jambo ambalo limefanikiwa ni kwa kupitia yeye aliye muweza wa yote.”
“Pili nawashukuru Watanzania wote karibu kila nyanja kwa kuonyesha ushirikiano wao kwa Mkubwa na Wanawe mpaka kufikia hapa hii leo.Toka ianzishwe Yamoto Band leo ni siku ya furaha kwetu kusheherekea mwaka mmoja ambao umefanyika kuwa na mafaanikio mengi makubwa. Moja kati ya mafanikio hayo ni kuuza kazi zetu kweye mtandao na kukuletea kokote ulipo mpaka majumbani,” alisema.
Aliongeza: Na kwa hiki kidogo tulichokipata sisi ukijumuisha na furaha tuliyo nayo ya kutimiza mwaka mmoja tumeona ni bora tugawane na wenzetu ambao ni wahitaji haswa kwa msimu huu wa sikukuu kama tulivyozoea kufanya toka kipindi cha nyuma kwani hawa ni sehemu yetu kama wanajamii wenzetu.Na kwa wale wapenzi na mashabiki wa Yamoto Band tupo tayari kukupatia kilicho bora zaidi.
Video mbili za ‘Akadumba’ zimemkamua shilingi milioni 36 Nay wa Mitego
Nay wa Mitego amekata mpunga mrefu kushoot video mbili tofauti za ngoma yake ‘Akadumba’
Nay amesema kuwa, shilingi milioni 36 zimetumika kukamilisha mzigo huo.
“Kiukweli kabisa imenigharimu pesa nyingi sana ambayo sikufikiria kama inaweza ikanigharimu kiasi hicho,” amesema Nay. “Nilikuwa natafuta kitu kizuri na kuwaonyesha watu nini kinatufanya tutoke nje. Kwahiyo video moja nimefanyia nchini Kenya na Kelvin Bosco na moja nilimsafirisha akaja hapa nyumbani Tanzania, zote kafanya yeye. Kwahiyo zote zipo tayari. Zimegharimu zaidi ya milioni 36. Kwahiyo mpaka sasa hivi ninaweza nikasema zitatoka kabla mwaka huu haujaisha. Moja itatoka Alhamis ijayo ambayo nimefanyia nyumbani na hii nyingine itatoka mwaka huu huu.”
Bracket Ft Diamond Platinumz & Tiwa Savage_-Alive[NEW AUDIO]@paulmkale
Kundi la Bracket Wameachia ngoma mpya"ALIVE"Waliyomshilikisha msanii nyota kutoka bongo Diamond Platinumz Na mwanadada kutoka Nigeria Tiwa Savage,Isikilize hapa na Download
Q Chilla - For You[NEW AUDIO]@paulmkale
Q Chilla ameachia nyimbo mpya"FOR YOU"Iliyotayarishwa na Prod-Mazuu Record,Isikilize na download hapa
Willy Paul - Mamangu(Official Music Video)
"This song is a testimony and a prayer that I have written as a dedication to my mother, who has been ailing for over 15 years. I want to share the love I have
Subscribe to:
Posts (Atom)